Hujambo, (Hello)
Japokuwa Kiswahili hakijajistawisha kwa umaarufu kama vile Kiingereza, kuna vile chaonekana kuenea kwa kasi kote duniani.
Swahili, though not as established as English, is a language that is currently making strides through its spread to various parts of the world.
Nimo hapa kwa wale wote wanaotaka maandishi yao yaliyo katika lugha ya Kiingereza kutafsiriwa kwa Kiswahili na vile vile, kutoka kwa Kiswahili hadi kwa lugha ya Kiingereza.
I am here for all those who need their English content translated to Swahili and vice versa.
Mie kama mzaliwa wa Kenya, Afrika Mashariki, nakuhakikishia utafsiri ulio wazi na unaoeleweka.
A Kenyan (East Africa) native, I assure you of nothing but a clear and comprehensible translation.
Hivyo basi, waonaje tukikitoa kikwazo hiki cha lugha?
So what do you say we break the language barrier?
Wako (Yours),
Ronald